Recent content by KHALFAN CHETU

  1. K

    JamiiForums Tanzania Amuua mwanawe wa kiume kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Mtoa POST kumbe nae SHOGA bhana..
  2. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utawala Bora katika Taifa

    Sawa,Shukrani sana.
  3. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utawala Bora katika Taifa

    Kwangu UZALENDO naufananisha na MTI wa Matunda unaohitaji MAJI,RUTUBA na MWANGA ili Unawiri.. Nikimaanisha kwamba UZALENDO una NGUZO zake kuu TATU kwa namna ninavyoutazama,Nazo ni:- WATU,SERIKALI na MAZINGIRA MAZURI. Kama ambavyo MMEA hunyauka ukikosa KIMOJA kati ya RUTUBA,MWANGA au MAJI ndivyo...
  4. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utawala Bora katika Taifa

    Shukrani sana..
  5. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utawala Bora katika Taifa

    Utawala ni Hali inayoakisi sifa nyingi zilizopo kwenye Matabaka Makuu Mawili ambayo yanaunganishwa na Tabaka liitwalo Mifumo/Mfumo. Sifa kama Utii,Uzalendo,Ukarimu,Ubunifu,Kujitoa,Misimamo Madhubuti,Utu,Kujituma,Ushirikiano na kadhalika. Hizo ni baadhi tu za Sifa zilizopo kwenye Tabaka la...
  6. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania na uchumi

    Kabisa yani,Viongozi wasio na Ubinafsi huwapiga Raia Mihuli ya Upendo na Uzalendo hata kwenye Vipindi Vigumu
  7. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania na uchumi

    Kwa kutumia Upeo wa kati wa Ufahamu kuhusu Uchumi kwa Mujibu wa tunaowaita Wabobezi wa Masuala ya Uchumi, Tunautafsiri Uchumi kama ifuatavyo,UCHUMI ni Mahusiano yaliyopo kati ya Uzalishaji, Biashara na Fedha zinazopatikana. Tafsiri hiyo ni kwamujibu wa Kamusi ya OXFORD, TOLEO LA SITA. Lakini...
  8. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uwajibikaji katika maadili

    Kama ambavyo Jasusi anahakikisha anaifanya kazi yake kwa uweledi ndani au hata Nje ya mipaka ya Taifa lake ili kuifanya NCHI yake iwe mahala salama na penye maendeleo ya uhakika dhidi ya wazandiki wa kiuchumi na kisiasa wanaotaka kufanya hujuma,ndivyo hata mimi na wewe tunavyopaswa kuwajibika...
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

    I That is a MATTER OF OPINION not a MATTER OF FACT.. Kwasababu MIKOA ya PWANI wapo wanawake wanajitunza na bado wameyoboa PUA na SHANGA wanawavalia WAUME zao.. Maneno yako yanakua ya UKWELI kulingana na IDADI ya wanawake uliowaona na hivyo VITU kisha kwakuona TABIA zinaendana ukona wote ni...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Mgeni humu ndani,Nina maandiko yangu tayari kama MATATU hivi nataka niyatume humu ila sijajua ntayatuma hapa kama REPLY au ni kule kwenye CATEGORIES...? MSAADA TAFADHALI
Back
Top Bottom