Acheni ushamba na upofu b4 akina membe walikuwa wakiongoza wakiristo wengi wengi 2,ila waislamu wali2lia hakuna aliyesema ubaguzi wa dini coz sifa za kuongoza walikua nazo though walifanya upendeleo kwa saana 2 mpaka wa2 wakaamini dat waislamu wako nyuma kielimu bt sasa wako muslims mnapiga domo...
f limetendeka kweli basi huyu anaitwa MKWELI
And mdini hata wewe ni mdini coz maana ya dini ni jus mfumo wa maisha anaofuata mwanaadamu n na wewe pia una mfumo wako wether uwe mfumo famous o not xo na wewe ni mdini pia
tatizo lenu kubwa mnataka watu wanyamaze mfanye yenu mtakavo m2 akisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.