Kwa wanaozipenda wanajali usafi maana ukivaa chupi nyeusi au nyekundu ht ipate doa huwezi jua imechafuka lkn nyeupe na pink ni ishara ya usafi[emoji12] [emoji12]
Inakuwaje mtu anapoomba umeme akitaka kwa njia za panya anapewa ndani ya siku 30 lkn akifata haki atasubiri hata miezi 6 na ameshafanya malipo ,mnasema nguzo hamna ila kama ukitoa laki 7 utapata umeme ndani ya siku 30 hizo nguzo zinatoka wapi za kulipia laki 7 ufungiwe haraka?
Sent using Jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.