Kuanzia Mandera kwenda Hondogo, Miono mpaka vijiji vya mbele sana njia ya mbuga ya sadani. Njia ya mbugani inayopatikana baada ya mto wami. Sio ile njia ya kuingilia makurunge. Hondogo na Miono ni kuanzia laki mbili na nusu kwa eka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umewahi ifanya hii biashara? Umesoma pia comments/ushauri wa waliotangulia? Naona wewe ni mkataji tamaa mzuri sana. Hii biashara ina faida sana. Sijawahi ifanya ila ina faida kubwa kutokana na utafiti nilioufanya
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.