Recent content by kfc

  1. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta chupa za plastic kwa ajili ya packaging ya bidhaa

    niko arusha
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tunauza vitunguu swaumu (vimeshapakiwa) kwa bei nafuu

    samahani mkuu mm naomba unisaidie sehemu umetengenezewa hvyo vifungashio mm nahitaji kwaajili ya kufanya packaging ya mafuta ya kupaka bt mm nahitaji chupa,nisaidie plz
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta chupa za plastic kwa ajili ya packaging ya bidhaa

    habarini wapendwa wa JF, mimi natafuta chupa za plastic kwaajili ya kufanya packaging ya product zangu za mafuta ya kupaka, naomba kujua ni kiwanda gani wanaweza kunitengenezea chupa hizi,tafadhali mwenye kujua anisaidie,be blessed
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kampuni ya kunitengenezea vifungashio vya plastiki

    Habarini wana jamii forum, samahani naomba msaada nina shida ya vifungashio vya products zangu ambazo ni mafuta ya kujipaka sasa sijajua ni kiwanda gani wanaweza kunitengenezea maana nahitaji chupa za plastic. Nisaidieni wapendwa.
Back
Top Bottom