Recent content by Keyliz

  1. K

    Wanangu wanaelekea kukosa ada ya shule kwa kutibu mama mkwe

    Aisee,nadhani ifike mahali hao ndugu wa mkeo pamoja na mgonjwa wao wakubali tuu kuwa siku za mama zimekwisha hivyo waombe discharge wakasubiri muujiza nyumbani ugweno maana utauguza utafilisika na bado mama atakwenda na msiba utagharimia pia (japo siiombei)lakini naona ndiko unakoelekea sasa...
  2. K

    Mama amfanyia mwanae Unyama

    Siku hizi dunian pameshakuwa si salama tena kwa kuishi
Back
Top Bottom