Huo ndio ukweli
Sema ngozi nyeusi ni wepesi kununulika mmenunuliwa na kuuza nafasi zenu Kwa watu weupe, M/Mungu ajakataza biashara so aliruhusu biashara na ninyi watu weusi mmeuza nafasi zenu na weupe wamechukua nafasi zenu
Mmeuza kila kitu, weledi, uelewa,akili,nyadhifa,maarifa, mafanikio...