Recent content by kevin9000

  1. K

    Mtaalamu wa ufugaji wa kuku kuchi

    Sasa wewe utabaki kushangaa kuchi anauzwa laki mbili wakati wengine wanauza mpka laki tano,kama hauamini hata kenya bei yao ni kubwa sna,Fanya kusearch kwa google afu andika kuku kuchi olx kenya afu utaona bei zao.we endelea kushangaa watu tunapiga hela.Weka hizo picha za hao kuchi unaosema...
  2. K

    Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    Nauza kuku aina ya kuchi au kwa kizungu aseel,wana miezi mitatu na nusu.ni pure kabsa.Nipo Moshi Kwa anaehitaji anipigie 0715 390738
  3. K

    kevin9000

    nauza kuku aina ya kuchi au kwa kizungu aseel, wana miezi mitatu na nusu,nauza kwanzia 15,000.nipo moshi kwa anaehitaji anipigie 0715 390738.
  4. K

    Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    Umekosea sna,katika kuku ambae anajua kutunza vifaranga wake vizuri sna ni kuchi wa kike,wanakua WAKALI sna wanapokua na viranga.hawa ndo kuku walio na gharama sna duniani.kwa kizungu wanaitwa ASEEL na wale wenye midomo mifupi wanaitwa PARROT BEAK ASEEL.Kwa anae taka kujua zaidi kuhusu hawa kuku...
  5. K

    Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    kishingo sio kuchi ni kuku tofauti na kuchi.
  6. K

    Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    40 vifaranga wawili kimoja nauza 20,000.nigie 0715 390738.
  7. K

    Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    niko na vifaranga vya kuchi pure vya miezi mitatu.nipigie 0715 390738.nipo moshi.hawa ni pure kabsa.
  8. K

    Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    Nauza vifaranga vya kuchi pure vina miezi mitatu.nauza wawili kwa 40,000 .Ni pure kuchi.nipo moshi.kwa anaehitaji anipigie 0715 390738.
  9. K

    Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    mim nko na vifaranga vya kuchi pure vina miezi mitatu.ninauza 40,000.nipo moshi.
  10. K

    Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    huyo ndio ni kuchi,kuchi wko wa aina tofauti.huyo sasa ndo wanaotumika kwa kupigana kule sehem za india au pakistan, kwa kizungu wanaitwa Aseel.pia kuna wale midomo mifupi ambao watu wanapenda kuwaita parrot beak aseel.tafuta kwenye google Parrot beak aseel utaona picha zao.
  11. K

    Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    huyo si kuchi mdomo mfupi,mdomo mfupi ni kama huyu hapa.huyo namuuza laki mbili na nusu.
Back
Top Bottom