Ilo kweli ndugu upo sahihi, hain maan kuwa mtu akifeli hana uwezo wa kufanya kazi haliyokuw ameomba. Mara nyingine uwa wanachukua watu waliopata alama mpaka 70 kwend juu, hii ina maaan kuwa mtihan ulikuwa na usawa na mtu alipat cha kujibu. Ngoja watoe majibu utajionea majanga waliokusudia ktk...
Good point! Ila usisahau kuutetea vizur uongo huo. Umenikumbush wakat nipo chuo kuna lecturer mmoja alisema uongo kweny CV unaandikwa na mtu anautetea vizuri sana. Sasa mtu kamaliza chuo na amesota kitaa miak wakadha na kila kazi wanatak uzoefu wa mwak 1 au kuendelea kwanin usidandanye. You are...
Ilo nakupinga kwani wenye vigezo wapo wengi. Bora kuita watu wote wenye vigezo na kuchuan kwenye written maan uko unapata ulichokivuna na hakun kumlalamikia mtu. Utumishi ndo sehem pekee yenye asilimia kubw kupata kazi hasa kwa watoto wa maskini wasio na vigogo serikalin. Yaliyotoke Uamihaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.