Habari ndugu wanajamvi, Mimi ni mtumishi wa umma, Nina mpango wa kufanya biashara kama njia mbadala ya kujiongezea kipato na biashara yangu imejikta katika genge lenye mtizamo kama kwenye kiambatanisho. Naomba ushauri wako pale palipo pelea au panapotakiwa kupunguzwa. Akhasante sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.