Dogo amefanya ushawishi Mkubwa sana kwenye WBNA kiasi ambacho amekuwa kivutio cha watu wengi sana.
Hivi karibuni amechaguliwa kwenye all stars ya WBNA, licha ya mafanikio aliweza kuwashukuru wote waliofanikisha ndoto zake kutImiza.
Angelreese ana kiimo flani amazing Akiwa ndani ya uwanja...
Nchi 10 zenye watu wengi zaidi barani Afrika
Nigeria inaongoza kwa takriban watu 223,804,6322 ikifuatwana na Ethiopia ikiwa na watu 126,527,060
• Kenya ni ya saba kwa watu 55,100, 58755,001 huku Tanzania wakiwa mbelekatika nafasi ya tano.
Kama kauli yake imetoka moyoni na sio kututia Moyo Wafrika basi ni jasiri kama akina Nkrumah na Mandela hizi ndizo zilikuwa sera zao kuwa Wafrika ifike siku moja tujitawala na Kujiongoza kwa kila kitu. Mie binafsi namuunga mkono.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.