Recent content by kessy itegetela

  1. K

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Mbunge Godbless Lema bado anasubiri dhamana, arudishwa Gerezani, Mawakili wake wakata Rufaa

    Wamwache ndio kukomaa kisiasa,wakiwa nje oo mimi npo tayari kufungwa sasa mtu anakaa maabusu tu mawakiri sita uo ni uoga.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CUF Mtatiro safarini kikazi, Afrika ya Kusini

    Kwel njaa mbaya huyo mamvi anawaendesha sana,msije mkachua pesa za mafisadi,sasa eti mwenyekiti wa kamati kwa katiba ipi?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kesi ya CUF kwa Lipumba na Msajili

    Ukiona mtu anamchuakia mtu aliyesoma ujue hakua na akili shuleni kwao,mtu kufanya usafi siyo kosa,kosa ni kufyeka chakura cha watu ili wafe njaa,mwambieni seif hizo siasa za mogadishu awache wapemba waishi kwa amani.
Back
Top Bottom