Mapema siku chache zilizopita Raisi wa jamuhuri ya muungano wa tanzania Dr, John Pombe Magufuli alimteua mwenyekiti wa Chama cha ACT-wazalendo mama Anna Mghwira kuwa mkuu mpya wa mkoa wa kilimanjaro,kujaza nafasi iliyoachwa wazi na mh Sadick Merck Sadick aliyejiuzulu mapema siku chache...
"Watanzania nani aliyetuloga???"
Watanzania sisi tumekuwa watu wakulaumu na kujisahau,hivi ubongo wetu ni sawa na mnyama ngiri????ANAYE Jisahau kati kati ya mbio zakujiokoa na simba nakusimama eti kaona majani yaliyostawi anayoweza kuyatumia kama kitoweo??
Watanzania wengi tumeshuhudia dhihaka...
Mnajitekenya nakucheka wenyewe,YERIKO huoni aibu kufatilia maisha ya mtu mpaka anachokula unafatilia?embu jitambue wewe mtoto wa kiume tabia za kina dada embu achaa unatia aibuu,tupambane kwa kwa hojaa,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.