CCM vs CHAUMA
Hii ni aibu tupu kwa chama kikongwe na maharufu duniani kukubali huu ujinga
Kongole kwa Chadema hata ikishindikana mmejenga historia ambayo haitofutika kamwe.
Nadhani watu wengi ni ngumu kuweza kuzijuia hizo sheria za kuwajibisha ila kwa kuwa matamshi ni ya muhusika awe ni Mbunge au Diwani na anaongozwa na chama fulani itakuwa chama ndicho chenye makosa kikatiba au kimiongozo kutokana na Ilani ya chama na pia ilan hizo zinaonesha wazi vipaumbele...
Tatizo kubwa tanzania vijana wanakosa exposure kutokana na sera zetu katika sanaa hakuna sehemu husika ambayo inaweza ikainua vipaji vijijini na vikaja kuonekana ni hadi kubahatisha kama kijana Harmonize na kufanikiwa kimuziki.
Serikali liangalie katika namna tofauti ili kusaidia wengine wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.