Bro... ni kitu kinatokea huko. Na kuna sababu ya kutokea ivo vitu. Nmeamua kufupisha tu maelezo.
Ila mm nishahudia mbwa dume anaingiliwa na dume mwingine.... walikua ni hawa bull dogs walibwekewa na mbwa koko hawa. Sasa wakaanza kumpiga huku mwingine akawa anambaka.. mpaka wakamuua.. wewe...
Ah yes. JW... nishasoma hii kitambo tu na nilishawahi kua na mjadala/mabishano nao. Tena sasa kama hujui wao basically, hawapingi evolution. Sehem wanayopinga ni pale tunaposema life started by chance. Na kwamba a totally new species evolve from other species mfano kiumbe kutoka kua samaki na...
No icho ni kitu baadhi ya wanyama wameonekana kufanya na sio utan. Kwa wanyama wanaopatkana Tanzania sana simba wanasemekana kufanya ivo..
Na kuna nchi ya Afrika (nimesahau jina, ila nafkir ni kluger national park) simba jike wanatabia ya kua na mapenzi ya jinsia moja. Hii inatokea baada ya...
Hao unaweza kutafuta mwenyew sasa kwa muda wako. Hata ukiingia Google tu unaelezwa. Nishakuonesha ila kila mara unarud kulekule... sasa imekua infinity loop.
Kama hujui kuna jamii ya twiga wenye shingo fupi ambao wako hai;
Ndugu, wanaouwa wenyewe wanakwambia uchague kati ya kusilimu au kuawa... wao ni waislamu na wadai kua wanafanya ivo kwaajil ya Allah, kufanya usilamu utawale. Maandiko yenu sindo yanasema kua uislamu utatawala dunian kote?
Yani uthibitisho ulionao ni kwamba "quran ndio imesema ivo"
Smh[emoji2365]... sasa wakat sayansi inakuletea thibitisho za kutosha kabisa. Huenda ww ni kati ya watu wanaoamini kua dunia ni flat
Sio imani sasa acha ubishi ww... ndiomaana inakua studied.
Evolution sio imani, ikifika point fulan unaweza ukasema kua "...it's believed that..." ila kwa vitu recent kuna ushahidi kabsa na unaweza kua tested.
Mfano wa Evolutions zenye uhakika ni kama nyoka. Tunajua kabsa ancestor wa nyoka...
Ww Sudan hujui hata ndege haziruhusiwi kupita kwasababu hio? Au unakaza fuvu tu...
Hizo nchi gays walikuepo tokea miaka ile. Ile yea, woke culture imeharibu zaid pia. Nchi kama Lebanon na Pakistan zimekua worse baada ya utawala wa usilamu.
Hio sasa inahitaji muda kutokea...
Evolution ya mbwa tu au ng'ombe (ambayo ndio iko recorded, kind of) ilitumia maelfu ya miaka. Sasa kitu cha billion years ago unataka upate proof gani? Halafu ukute hujui kutofautisha kati ya speculation na imani...
Sudan watu wamejificha msikitini. Hawapewi chakula bali maji tu.... walikua wanakutaka ukili kua "unakubali uislamu" ndio wanakuacha, wanakupeleka kwenye msikiti. Bila hivo unauawa....
Kwann naona uislamu sio mzuri? Kwasababu usilamu sio mzuri... angalia nchi ziliadopt uislamu, zinateketea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.