Recent content by kenten

  1. kenten

    Kurenew cheti ERB

    Habarini wakuu, format ya report hii hapo kazi kwenu.
  2. kenten

    Kurenew cheti ERB

    Final Engineer Report format Acknowledgement Anza kwa kuwashukuru wazazi,Mungu ,familia ,wajukuu na mwaisa wengine Table of contents List of table List of figures Section 1: Introduction 1.1 General Elezea background yako ulikosoma na completions zako. 1.2 other Trainings Elezea training...
  3. kenten

    Kurenew cheti ERB

    Haqualify tena kua graduate engineer,na hauwezi Ku update cheti cha graduate engineer kikisha expire.hapo ni kuchukua tu P.E suala La uzoefu ataupatia baada ya hapo.
  4. kenten

    Kurenew cheti ERB

    Mimi nmeangalia urahisi wa yeye kupata nafasi kwenye tasnia,utamshawishi vp mtu kua ulimaliza 2018 mpaka Leo sio graduate wala professional engineer?Nachomshauri achukue cheti cha P.E kitamsaidia mbeleni. Kama ulvosema uamuzi unabaki kwake usiku mwema.
  5. kenten

    Kurenew cheti ERB

    Ndugu, kuandikiwa report na kuwa professional wala haishindikani,akishapata cheti cha professional engineer ndio itakua rahisi kwake kupata kazi na hio experience. Kwa sasa hivi ata practice vipi engineering bila cheti cha graduate au professional?
  6. kenten

    Kurenew cheti ERB

    Karibu sana
  7. kenten

    Kurenew cheti ERB

    Nimempa option ya kumuandikia maana sijui mazingira alioyonayo, akitaka nimwelekeze pia anicheki
  8. kenten

    Kurenew cheti ERB

    Kufanya SEAP sio lazma mkuu, kwa huyu ambae ameshatimiza miaka mi 3 ya uzoefu ni bora aandike report moja anasajiliwa vzur tu, SEAP itamchukua miaka mingine mi 3 kusajiliwa.
  9. kenten

    Kurenew cheti ERB

    Hauwezi kurenew Cheti cha ERB graduate engineer,nicheki nikuandike report usajiliwe kama Professional Engineer
  10. kenten

    Kurenew cheti ERB

    Nicheki pm nikuandikie mkuu
  11. kenten

    Anahitaji Mbia wa kuwekeza katika kampuni ya Ukandarasi

    Ukisoma vizuri andiko langu, nmebainisha wazi pesa nyingi ataweka baada ya kupata tenda.
  12. kenten

    Anahitaji Mbia wa kuwekeza katika kampuni ya Ukandarasi

    Ndio nitamgawia hisa, kuhusu kupanda class hayo ni maamuzi tu, mimi naamini katika kufanya kazi nyingi ndogondogo kuliko kubwa moja.
  13. kenten

    Anahitaji Mbia wa kuwekeza katika kampuni ya Ukandarasi

    Uhakika wa kupata kazi upo,idadi itategemeana na mtaji utaowekezwa
Back
Top Bottom