Recent content by Kennedy mkude

  1. K

    KERO Ajali Barabara ya Kilwa; Serikali iwajibike kukomesha

    Tuendelee kupaza sauti, Nina Imani itafika mahala sahihi. Au tukampe mange kimambi Nini?
  2. K

    KERO Ajali Barabara ya Kilwa; Serikali iwajibike kukomesha

    Acha hizo wewe, hivi hiyo Barabara unaifahamu?? Unaelewa hizo ajali zinazozungumziwa hapo?? Juzi jumamosi kuna watu wamekufa, last three weeks ago pia pia hivyo with the same scenario...!!! Wewe kama unahitaji maendeleo hoji Kwa nafasi yako ila sio sisi tunapaza sauti wewe unaweka kizuizi. Shame...
  3. K

    KERO Ajali Barabara ya Kilwa; Serikali iwajibike kukomesha

    Inaonekana ajali nyingi za hii njia haziripotiwi ndiyo maana hakuna hatua stahiki zinazochukuliwa. Kwa jinsi ajali za vifo zinavyotokea mara Kwa mara basi zote zingekuwa tunaziona kwenye vyombo vya habari basi mapema tungekuwa tumesolve hii issue.
  4. K

    Kila kitu kina utatatibu wake, serikali inapotaka kufanya jambo lazime itangaze then baada ya hapo itatoka order na deadline yake, wahanga wanatakiwa wahame kwa hiari ndani ya muda ila wakikahidi wataamishwa na serikali Kwa kuvunjiwa. Sasa mtu hawez kutoka without government order mkuu
  5. K

    KERO Ajali Barabara ya Kilwa; Serikali iwajibike kukomesha

    Hilo halikwepeki la kuvunja ili ujenge. Lazima waliokatika hifadhi za Barabara wapishe njia Kwa ajili ya maboresho ya njia
  6. K

    KERO Ajali Barabara ya Kilwa; Serikali iwajibike kukomesha

    Inaonekana ajali nyingi za hii njia haziripotiwi ndiyo maana hakuna hatua stahiki zinazochukuliwa. Kwa jinsi ajali za vifo zinavyotokea mara Kwa mara basi zote zingekuwa tunaziona kwenye vyombo vya habari basi mapema tungekuwa tumesolve hii issue.
  7. K

  8. K

    Habari wanajamii, Naomba msaada ili serikali iweze kuwajibika kutokana na changamoto ya Kilwa road kutoka kokoto mpaka vikindu. Kutokana na ubovu na wembamba/udogo wa hiyo Barabara basi imekuwa ni sehemu hatarishi Kila kukicha. Usipokuta ajali basi kuna gari limeharibika kitu kinachoweza...
Back
Top Bottom