Recent content by kennedy joshua

  1. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya Tiles

    Wanajamvi napenda kujua bei ya Tiles Twyford au Goodwill kwa dar es salaam 40×40 25×40 Na skating tiles
  2. K

    JamiiForums Tanzania Fundi moulding(urembo wa nguzo) Mwanza

    Uko mwanza?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Fundi moulding(urembo wa nguzo) Mwanza

    WanajamvI anahitajika fundi mtalaam wa kuweka urembo kwenye NGUZO za nyumba mwanza
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

    Tunaomba picha ya hio nyumba mpya tuwe inspired
  5. K

    JamiiForums Tanzania Fumagira na Nyang'holongo wapi pako poa?

    Unazungumzia nyang'holongo au nyangomango maana nyangomango ndo sehemu nzuri na iko njiani kabla ya kufika usagara na ina makazi mazuri mapya nadhani ni sehem salama kuweka makazi na viwanja bei imechangamka sana
  6. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu Bei ya Kufanya "Skimming"

    Oky asante sana
  7. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu Bei ya Kufanya "Skimming"

    Kama unaona nimeandika utumbo haina haja ya kuzozana unakaa tu kimya
  8. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu Bei ya Kufanya "Skimming"

    Na ww hujalazimishwa mzee
  9. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu Bei ya Kufanya "Skimming"

    Kwani nimekulazimisha kujibu ndugu kila mtu ana uhuru wake
  10. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu Bei ya Kufanya "Skimming"

    Asante sana
  11. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu Bei ya Kufanya "Skimming"

    Wanajamvi naomba kujua makadirio ya Skimming hasa bei ya fundi ni sh ngapi kwa nyumba yenye vyumba vitatu, sebule, Dining na jiko.
Back
Top Bottom