Recent content by keniTz

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mbegu bora za mbogamboga

    Biringanya aina ya black beauty. Uzao mzuri, ujazo mzuri, weusi wakung'aa na inayovumilia magonjwa. Utaipata popote ulipo kwa bei nzuri
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mbegu bora za mbogamboga

    Cabbage aina ya Copenhagen market. Cabbage bora sana yenye ujazo wakutosha na inayovumilia magonjwa. Popote tunakufikisha katika bei rafiki
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mbegu bora za mbogamboga

    Chinese yakuchuma kwa muda mrefu. Karibuni wakulima na wenye agrovets muweze kujipatia mbegu hii popote Tanzania na nchi jirani
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mbegu bora za mbogamboga

    Karibuni pilipili hoho aina ya California wonder kutoka KENI AGROPARK LTD
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mbegu bora za mbogamboga

    Karibu sana
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mbegu bora za mbogamboga

    Ndio Tukuyu tunatuma mkuu. Huwa tunatuma sana hapo Kasumulu border, hivyo kwa Tukuyu utapata mzigo bila tatizo. Karibu sana
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mbegu bora za mbogamboga

  8. K

    JamiiForums Tanzania Mbegu bora za mbogamboga

    Sawa mkuu, nashkuru sana kwa pongezi. Naomba unitumie sms whatsap kwenye namba hiyo ya voda uniambie ulipo na tuwasiliane zaidi juu ya namna yakukupatia hizo ulizohitaji. Karibu sana mkuu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mbegu bora za mbogamboga

    Karibu mkuu tupige kazi
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mbegu bora za mbogamboga

    Hatuna branch Dar ila tunaweza kutuma mzigo ukakufikia popote ulipo
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mbegu bora za mbogamboga

    Bei nimeshaweka hapo juu mkuu. Pia nitakutumia PM
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mbegu bora za mbogamboga

    Upo sahihi mkuu. Pia kila mbegu ina maelekezo yake tofauti, hivyo mteja akinunua mbegu flani ndio tutampa maelekezo yake. Karibu sana pia
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mbegu bora za mbogamboga

    Kabisa mkuu. Wakulima wote waje wajipatie mbegu bora za mbogamboga
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mbegu bora za mbogamboga

  15. K

    JamiiForums Tanzania Mbegu bora za mbogamboga

    Shukrani sana mkuu. Karibu sana ujipatie mbegu bora za mbogamboga
Back
Top Bottom