Recent content by kengetz

  1. K

    List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

    Hivi kuna mtu anaweza kupata english translation ya hizi tuhuma za Dr. Slaa? Kama itapatikana, watu waliopo Marekani tunaweza kuji mobilise ili kuomba marafiki na ndugu zetu wapiga kura wa kimarekani ili wawashawishi masenator na representatives wao ili wazuie misaada kwa Tanzania. Muungwana...
  2. K

    List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

    This was probably the worst thing to say among the millions of hungry and impoverished Tanzanians. Unajua, ingawa huyu jamaa amesoma na kubobea katika sheria, inaonekana ame-panic na ameshindwa kujua aseme nini ili kujitetea. You can't just blubber kwa watanzania kwamba benki yenu ya BoT...
  3. K

    List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

    Kweli mambo yanakwenda kombo. Huyu jamaa hana sababu yoyote ya kubwata bwata, alitakiwa amburuze Slaa mahakamani na hata kama Slaa hana hiyo fedha ya kumlipa, atakua amejisafisha jina lake. Anaogopa na hata serikali inaogopa kumpeleka Slaa mahakamani kwa sababu hawajui ni mabomu gani mengine...
  4. K

    Buriani Amina Chifupa!

    Let it be known, kwamba kama ni mkono wa Nchimbi, ingawa wengi wetu tunakuwa wanafiki kujaribu kukataa kwamba hahusiki; then huo uraisi ambao anataka kuupata kwa nguvu za giza hataupata hata akiamua kuwaua wapinzani wake wote. Kwanza Ipyana then Amina Chipufa. Huyu jamaa inabidi ashughulikiwe.
Back
Top Bottom