Recent content by kengeleyamapumziko

  1. kengeleyamapumziko

    Nashindwa kurudisha moyo kwa mpenzi wangu baada ya kurudiana

    Mapenzi hayashauri , fuata moyo wako na maamuzi yako ya vichwa vyote viwili...kama upo naye mwaka wa 4 uhuu kwa nn ushindwe kumuuliza akupe jibu???
  2. kengeleyamapumziko

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hii stori ya kula kimasihara ilinitokea huko kwetu kijiji cha Nemele mkoani Morogoro huko Matombo Nakumbuka siku hiyo nimetoka zangu home nikaenda mpka Buguruni pale nikapanda gari linaitwa Shemkanda, tukatoka kama saa 12 asubuhi, tukafika KangaziMatombo saa 7 mchana pale nikatembea mpaka...
  3. kengeleyamapumziko

    Hodi

    Hapana mi siyo mwenyeji ni mgeni kabisa
  4. kengeleyamapumziko

    Hodi

    Twaibu ni kengeleyamapumziko
  5. kengeleyamapumziko

    Hodi

    Habari zenu... Mimi ni kijana wa kiume nakuja kwenu waungwana mnipoke na mnikaribishe Nawatakia kazi njema
Back
Top Bottom