Recent content by kengeblue

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kesi ya George Sanga yadhalilisha Mahakama na DPP, Wanaharakati waagizwa kuchukua hatua

    Nchi hii Mungu Yuko na anawaona,Kila mtu atavuna alicho panda,yanayo tokea huko yapo njiani, waswahili hunena ukiona mwenzio ananyolewa zako tia maji.ni mda tu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu alikuwa Rais wa TLS na hapakuwepo kelele zozote, ila wakigombea Makada ndio inakuwa Nongwa!

    Si baada ya mda mfupi akapigwa risasi
  3. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kuzunguka na Msigwa eti kusema mabaya ya Mbowe ni ukosefu wa Hoja na sera. Wananchi tuna Agenda zetu muhimu kitaifa

    Tunaomba mtuletee roboti mtu karibu Msigwa karibu Sumbawanga uje na ile hela uliyopewa na Msukuma,
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Ubungo adhamiria kutokomeza biashara ya ukahaba

    Mtu mzima na heshima zako unaacha kazi za wananchi unakwenda kufukuzana na ....... Pole
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kutafuta hela kwa njia halali mpaka utoboe ni ngumu kinoma

    Dawa ni kuwa mchungaji nadhani hapo ukichanganya na uponyaji utatoboa.tu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

    Wewe si mwana Chadema ni mpotoshaji,kuna neno baya ningekwambia ila niko kwenye sala.
  7. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mzee Kinana abadilishwe kwa manufaa ya umma

    Mmmh Niko huku,Kigoma nakuja.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Utatu wa Magufuli, Juma Nkamia na Tundu Lissu unamfanya Lissu aonekane ni Mwanamme Jasiri!

    Kwakweli watanganyika yapo mambo hata shetani anatushangaa.pooooleni
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ni lini Tanganyika itaacha kuikalia Zanzibar kimabavu?

    Zanzibar ndiyo imeinywa Tanganyika.Asante uzeni kila kitu kabla hawajamka,wakiamka wakute hata chenji hamna.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ni nani wa kujibu hoja za Tundu Lissu?

    Kumpuuza ki vp wakati hapa kuna Tanganyika na Muungano, Zanzibar iko pembeni na Rais wao.kwa hiyo hapo kuna muungano gani.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi tu haya maisha yanataka kunikataa?

    Mmmh Mzee angalia usije ukajinyonga maana hayo makolokolo ni mengi usitumie nguvu nyingi kutatua vitu vilivyo nje ya uwezo wako mzee,misaada hutoka kwenye ziada wa muhimu ni baba na mama Yako.wengine wale kwa kutumia macho pia punguza kuhonga kwani umeoa watoto wakusingiziwa wa kazi Gani...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nimenasa sauti ya Katibu Tawala (DAS) Wilaya ya Mbogwe, Ndg. Jacob Rombo akiiba mafuta ya Serikali

    Mbona mkali sana au mgao ulikupita pembeni Nini.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tumefunguliwa Kesi Kisa kuzuia kura Bandia, na Mimi nimefungua kesi dhidi ya Askari

    Hapo unapoteza muda wako bure,kwa hiyo ulitaka kushinda.
Back
Top Bottom