Recent content by kenge mpinda

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kinana awaita Makapi wote waliochujwa na CCM kwenye Uchaguzi wa ndani

    Hata wachezaji huama timu anashangaa watu kuhama ccm? Au na wale waliolejesha kadi wakati wa ziara zake mikoani nao ni. Makapi?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Pill pill ya shamba yakuwashia nini?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Lowassa ameonyesha ujasiri wa hali ya juu!

    Kuna ubaya gani uongozi wa juu ukatoka kaskazini sie chadema hatuna ubaguzi wa Kanda dini wala kijiji ukiwa unafaa unagombea uongozi
  4. K

    JamiiForums Tanzania Habari ya Clouds TV mmenunuliwa na CCM?

    Mungu aisaidie itv muda huu wanaonesha marudio wanatukumbusha ilivyokua jamani mby hatukua na umeme japo tuliangalia kwa umeme wa jenereta
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wanzania si vyema kumchezea Mungu kwa kuwa kama Bendera hufuata upepo....

    Upige kura usipige kura huwezi kuongeza wala kupunguza kura za chadema baki hivyo hivyo
  6. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya Regina Lowassa kuwapiga stop wageni wa kisiasa, Edward Lowassa ahamishia vikao Sea Cliff

    Lizaboni mungu anakuona hebu ona aibu kwa propaganda za kitoto muda unaoutumia kumsema lowasa na chadema unaoutumia japo kupiga dili ungekua mbali
Back
Top Bottom