Corona in aisha mwezi wa tano. Hamna mtu anaweza kutabiri hizo ishu Acha kutuzingua hizo ni habari za assumption habari ninafuatilia kila siku hizo nipo lock down ndio kazi yangu kuu asaivi mzee
Kujiajiri ni mindset bro. Kuna mtu anaweza pesa 7000 aka make profit. Their many opportunities u just need to closely examine that particular oppotunity
Mkataba wao ulikuwa unazingua kwenye payment according to target hapo ndio niliona ujinga. Mi nilikataaa because nilikuwa nina option kazi nyingine ila ningekuwa sina option ningefanya hiyo kazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.