Recent content by keneddelly

  1. keneddelly

    JamiiForums Tanzania Bishoo Tanzania sasa inapatikana Play store

    "Katika dunia ya sasa, kila kitu kinapaswa kuwa karibu nawe kwa urahisi. Ndiyo maana Bishoo Tanzania inakuletea soko la kidigitali lililotengenezwa kwa ajili yako. Unataka kuuza bidhaa zako, kununua unachohitaji, kupanga nyumba, kubadilishana vitu, au hata kutafuta kazi mpya? Bishoo Tanzania...
  2. keneddelly

    JamiiForums Tanzania Guys! Nimefungua classfied site (Bishoo)

    Ni kweli kiongozi
  3. keneddelly

    JamiiForums Tanzania Guys! Nimefungua classfied site (Bishoo)

    Hil o o ndio Wazo zuri kaka
  4. keneddelly

    JamiiForums Tanzania Guys! Nimefungua classfied site (Bishoo)

    Ahsante sana kaka..
  5. keneddelly

    JamiiForums Tanzania Guys! Nimefungua classfied site (Bishoo)

    Ahsante sana …nilikuwa naomba msaada kwenye marketing strategies nizitumie…hizo mambo ya jina haina madhara kwa mawazo yangu .
  6. keneddelly

    JamiiForums Tanzania Guys! Nimefungua classfied site (Bishoo)

    Hilo jina mpaka muda huu limesajiliwa na niliamua kuliita hivyo kwa sababu zangu binafsi…impression ya mtu kwa siku ya kwanza itamuathiri Ila kama huduma zetu zinatakuwa za kuaminika ataendelea kutuamini..labda nikwambie kitu mpaka sasa Mimi na maduka mawili yote nimeyaaita bishoo..moja ni...
  7. keneddelly

    JamiiForums Tanzania Guys! Nimefungua classfied site (Bishoo)

    Tumefanya mabadiliko makubwa na sasa naona impressions nyingi Asante sana wadau wa jamii forum kwa pamoja tunaweza kukuza mtandao wetu. Kiukweli nipo na tight budget ya marketing,kama kuna mtu anaweza kunisaiida ata kusambaza kwa magroup anaweza kuwa ametoa msaada mkubwa sana. Mimi naamini...
  8. keneddelly

    JamiiForums Tanzania Guys! Nimefungua classfied site (Bishoo)

    Sawa nimekuelewa ndugu..ushauri wako mzuri
  9. keneddelly

    JamiiForums Tanzania Guys! Nimefungua classfied site (Bishoo)

    Account ya jamii forum ninayo muda mrefu sana
  10. keneddelly

    JamiiForums Tanzania Guys! Nimefungua classfied site (Bishoo)

    Mimi yangu classified site kila mtu anaweza kupost chochote ata kama una feni yako mbovu nyumbani unaweza kuipost kutafuta mteja mwenye uitaji..
  11. keneddelly

    JamiiForums Tanzania Guys! Nimefungua classfied site (Bishoo)

    Nafanya taratibu na nayachukulla mawazo yenu in positive way..kila kitu nakufanyia kazi ..kwa sasa nimefungua ofsi (physical place ) nadhani itakuwa mwanzo mzuri wa kuyafanyia kazi.
  12. keneddelly

    JamiiForums Tanzania Guys! Nimefungua classfied site (Bishoo)

    Nitafanyia kazi kaka
  13. keneddelly

    JamiiForums Tanzania Guys! Nimefungua classfied site (Bishoo)

    Ahsante kaka
  14. keneddelly

    JamiiForums Tanzania Guys! Nimefungua classfied site (Bishoo)

    Asante sana boss
  15. keneddelly

    JamiiForums Tanzania Guys! Nimefungua classfied site (Bishoo)

    Mwaka huu mwezi 8
Back
Top Bottom