Recent content by kemi lora

  1. K

    Askofu Pengo: Sikufahamu kuhusu waraka wa Kwaresma wa Baraza la Maaskofu Katoliki. Awaasa wasichanganye dini na siasa

    Anapaswa atambue kuishi kwetu hapa nchini na duniani tunaongozwa na sheria na Mamlaka za duniani na nchi kwa kufuata katiba,hivyo anapashwa kutambua huwezi upuka siasa kwa namna yoyote ile maisha ya kila siku ni siasa.tumemwelewa mchumia tumbo,kabla ya jogoo kuwika mara mbili utakuwa umenikana...
  2. K

    Kwa wanaomfahamu vizuri mbunge Hawa Ghasia wanisaidie

    Tunaomba utoe ushahidi ni point gani ya msingi na ya mashiko alowahi present bungeni ukiacha na mipasho.kwa hiyo usitetee hii ghasia.
  3. K

    Rais Magufuli: Mkijaribu kumfukuza Mkurugenzi wangu nitalivunja baraza la madiwani

    Ndipo turudi kwenye point ya msingi iweje mwanasiasa kama diwani,DC na RC elimu ya darasa la saba kuwaongoza watu wenye profession zao.Nabado sana anayokazi kubwa sana ya kukemea.amehamua kubomoa kwa mikono na kinywa chake.sasa itamugharimu pia kujenga.
  4. K

    Tutafika wanakotaka tufike ila tukifika huko wajue na wao hawatakuwa salama

    Sasa wewe umeandika hewani?kumbuka nasi tunakusoma hapa mwenye mtando.time will tell it just a matter of time.na mungu wa haki atazidi kiwaumbua tu.
  5. K

    Tutafika wanakotaka tufike ila tukifika huko wajue na wao hawatakuwa salama

    Wewe kweli unashangilia kupanda kwa gharama ya chakula unga wa ugali umefika 2200 kama huna watoto basi una ndugu na jamaa wote wataisoma namba pia
  6. K

    Kwanini Mbowe hajaitisha Mkutano Mkuu kuhusu tuhuma zilizomkabili?

    We unasema mbowe mbona Trump mwenyeww hakulipa kodi miaka kadhaa na still tupo kwenye kiti cha uraisi marekano.mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.tunataka amani sio kituchafulia amani angalia sasa kinachoendelea huko kibiti.wanaume wanakimbia nyumba zao wakihofia kukamatwa.kwanini ifikie huko?
  7. K

    Julius Mtatiro: Nimejulishwa kuwa aliyevamia mkutano wa CUF ni afisa wa Usalama wa Taifa

    Kwani hao usalama ni mungu.mpaka kila mtu asiwajue.?[emoji83]
  8. K

    Rais Magufuli kwa kutokwenda kuwaaga askari wetu waliouawa amenishangaza

    Sipangiwi nini cha kuongea na nini cha kufanya malizia hivyo usisahau.
  9. K

    Rais Magufuli kwa kutokwenda kuwaaga askari wetu waliouawa amenishangaza

    Haa nao wache waisome namba.kwani ni wananchi pekee ndo tunatakiwa kuisoma namba?
  10. K

    Kubenea uko wapi, rais anakutafuta kwenye Uzinduzi wa Hostel Chuo Kikuu

    Jamani watumikieni wananchi nasio kitafuta kiki.kwani wapinzani ni mara ngapi wameomba kukutana nae na asiwape nafasi?mie naona mwache aendee kuwa mfalme jozi.kwamba ni wa gharama sana.binadamu tu mavumbi na mavumbini tutarudi. Hakuna aliyebora zaidi ya mwingine machoni pa mungu. Madaraka,Jeshi...
  11. K

    Askari wetu mnaangamia kwa kuwa mlipuuzia ushauri wa Rais

    Wacha Movie iendelee hii inatwa Bampa tu Bampa
  12. K

    Askari wetu mnaangamia kwa kuwa mlipuuzia ushauri wa Rais

    Wanangamia kwa sababu wamekosa mahalifa
Back
Top Bottom