Habari wakuu, mwenye gari tajwa hapo juu na anaiuza basi awasiliane nami, budjet yangu ni 6m, iwe katika hali nzuri na haijawah kupata ajali, hela ipo cash, biashara leo leo. namba ikiwa B itakuwa poa zaid.
Ishafika The Boss, Isome hapa imetokea Kigogo jana kwenye Heka heka wameiibua:-
http://swahilione.blogspot.com/2013/11/mke-aishi-na-wanaume-wawili-ndani-ya.html
Nimepewa Mbinu na Mtu humu ndani nimeona bora niitumie hiyo, imekaa hivi; niliamua kushuka Tabata aliposhuka yule bi mdada mzuri na gari likaondoka na yule niliyekaa nae, wakati namkaribia akaja kupokewa na Mpenzi waka kiss na hugs sana tu, mtu mzima nikarudi nyuma kusubiri gari niende zangu...
Kweli si king'aacho dhahabu, hata angekuwa mwanaume anahitaji msaada na mimi nipo katika nafasi ya kumsaidia namsaidia tu, kuhusu kwenda kuzimu wote tutaenda na kama ikifika zamu yangu sitakuwa na ujanja, so siwezi kuacha kusaidia pale nnapoweza kwa kuogopa kwenda kuzimu, kwani wewe tangu...
Imagine Dina ungekuwa ni wewe unahitaji msaada wa kusindikizwa saa 4 yaa usiku na ukakosa msaada kwa kuwa wanaume hawana hizo shingo za kuku ungefanyeje?!! Kwa kumsaidia nimekuwa na shingo ya kuku, je ningemwacha aende mwenyewe kesho nikamuona katika gazeti amebakwa hadi kufa ningejiskiaje...
Tatizo hiyo ratiba ya hivyo ndugu yangu Baba V, mm nna mambo yanibana na Weekend ndo nafasi ahalafu mara nyingi nakuwa Naendesha mwenyewe, yaani ile ilikuwa Boonge la Coincidence.
Mkuu Blue G without hiyo Crush Upendo utatoka wapi?!! na ndo maana kuna Love at First Sight, U Crush, Feel na Response ya Upande wa Pili ndo inaleta Bond ya Love kwenu nyie wote, yaan ni sawa na kupenda bila kutamani, haiwezekani, usichokitaman huwezi kukipenda.
Analipa, Mzuri sana tu, amesoma na ana maisha yake kimtindo, ila hakuwa moyoni, nimeagana nae kama rafiki wa kawaida na kumweleza ya kwamba kwa vile nshapajua ofisini kwake siku yoyote naweza enda mtembelea naye akasema haina shida and that was it. maana kuanzia Buguruni kila mtu alikuwa...
Analipa, Mzuri sana tu, amesoma na ana maisha yake kimtindo, ila hakuwa moyoni, nimeagana nae kama rafiki wa kawaida na kumweleza ya kwamba kwa vile nshapajua ofisini kwake siku yoyote naweza enda mtembelea naye akasema haina shida and that was it. maana kuanzia Buguruni kila mtu alikuwa...
Huyu niliyemsindika ofisini sina tatizo nae, nilimpa escort kiungwana na thats it, namimi wala si womanizer kivile na siendekezi Ngono thats why nilimheshimu na kumsindikiza salama na kurudi salama bila kuambiana lolote la kuvunjiana heshima.
Huku MMU mkuu hayo mengine yako, unahisi una haki ya kunikumu kama ni Pepo au hisia za ukweli, ingekuwa Pepo ningeforce na huyu wa kwanza ambaye alionesha interest zote nami na hadi nikamsindikiza kurudi ofisini lakini njia nzima sikuongea jambo la upuuzi wala kumvunjia heshima, jiangalie mkuu.
Hapana sikuwa namjua, aliniomba nimsaidie maana alihofia usalama wake kurudi nyuma peke yake usiku ule, nikamuuliza anajuaje kama nami si walewale, alinipa maelezo fulani ya kunipa imani maana hata mimi nilikuwa namuogopa ila haikuwa mara ya kwanza kuwasaidia wadada kama hawa kwani nilishawahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.