Recent content by kelvy

  1. K

    JamiiForums Tanzania TCU!! Ni kweli priority tano tunazochagua mnazifanyia kazi?

    Sory its PCB not PUB. ****
  2. K

    JamiiForums Tanzania TCU!! Ni kweli priority tano tunazochagua mnazifanyia kazi?

    Daaa! Nooma sana big TCU this tme kuna nini!? Inamana wanasoma distinction tu!? Meritorious zote chali why!? Mwaka Jana merit hawakutemwa bhana. ......nauliza usipoomba second round nakuacha waz kwa kuwa kozi zote zilizobaki night arts nawe ni mwana PUB na umefaulu kwa merit yap mwanzo je...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Yaaap dental kwa taarifa nilizonazo iko poa saana also. ....ni course inayotelewa MUHAS tu in TZ so waweza ona umuhim wake. ..all in al it's among da best course in MUHAS
  4. K

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Hiv waliomaliza mwaka jana na mtu kafauru vzur ana dvn 2 ya mwanzo bt kaomba chuo mwaka huu ......je, nikwel kwamba wanaopewa priority niwalio hitim this yr au ufauru ndo determinant key!? Asante
  5. K

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Kiukwel koz zote za afya ni nzur na kamwe huwes kosa kaz so if u get chance it's ok. ..kinachomata zaid ni upendo juu ya hiyo course husika.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Poapoa mr get u.....
  7. K

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Thanks bro for ur advise. ..bt hapo mwisho statement yako kama vile sjaielewa" watatoana ngeu" ulimanisha nn!?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Asante bro. ..nimeanza nimeanza na udsm then kcmc,bugando, AJUCO mwisho udom. ...poa au nianze vip!? Much thanks
  9. K

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Maoni pls wadau. ..napenda kusikiliza also maon mi from my heart napenda kusoma MD na nimeomba options zote MD.....kwa pass BBB in PCB respectively. ....nimeomba pote serkalin na private kama KCMc& bugando. ..Je, niko sahii wakuu make it's only MD I think I can study comfortably in my univesrty...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Ktk hili anaglia jmf kuna wadau wa elimu wanaeleza fan mbal2 za uhandisi wako vzur kimaelezo utasaidiwa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Kuna sehem ya ku edit itumie kurekebisha details zako...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Du!? Itakuwa matokeo yako hayako ktk system. ....trie again
  13. K

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    U can change priorities. Remove or add a program via links on da left side of ur profile
  14. K

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Nadhan hakuna sehem ya kusubmit kwa 4m 6 procedure ukisha select program bhas. ....kuusu kuedit unaweza fanya hivo any time u wish even afer application
Back
Top Bottom