Recent content by Kelvin CHA

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

    Kuna nyakati kumwita Mungu kwa maombi akutatulie matatizo yako hakukwepeki kwa mwanadamu. Nini hiki sasa kwako dada Leah 2? Pole sana ila ushauri wangu mshirikishe Mungu na viongozi wako wa dini na uwasikilize kile wakisemacho ni kipi na maamuzi sahihi ni yapi? Utapima mwenyewe katika hayo yote...
Back
Top Bottom