Recent content by kelvin bayona

  1. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sheria sita (6) za kuishi

    Ndio bwana tena sisi vijana kwa tulivhonatamaa kupumzika tunakuona kama anasa
  2. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sheria sita (6) za kuishi

    Asante sana na
  3. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sheria sita (6) za kuishi

    Karibuni jamani kuzidi kuchangia mawazo zaidi kuhusu mambo unayopaswa kuzingatia kwenye maisha yako, karibuni sana
  4. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sheria sita (6) za kuishi

    🙏🙏🙏 shukran sana mkuu, maoni yako pia ya muhim hap kip cha kuongeza
  5. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sheria sita (6) za kuishi

    1. Acha iende Usije ukaharibu siku yako njema ya leo, siku yenye furaha, siku yenye nuru njema kwa sababu ya siku mbaya ya jana. Jambo linalorudisha sana watu nyuma pengine kimaendeleo, kimasomo, hama kufanya maamuzi ni kuruhusu kukumbuka siku ya jana iliyopita ambayo pengine ilikuwa mbaya...
  6. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mfumo wa ufundishaji wa masomo ya tehama vyuo vikuu ubadilishwe

    Nchi yangu ya Tanzania kama inatamani kupiga hatua zaidi kwenye maendeleo ya tekinologia inapaswa kuangalia zaidi swala la elimu inayotolewa na vyuo haswa vya umma. Unakuta mwanafunzi anamaliza shahada yake ya masomo akiwa anachukua masomo ya tehama lakini hakuna kitu alichotoka nacho kichwani...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Labda sema saizi niwatafute whatsap kabisa niachane na huku
  8. K

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Mfano mimi nimepost tangu jana kwenye saa 8 mchana mpaka saiz nimewatumia na ujumbe inbox hawajibu kitu
  9. K

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Nasisi ambao tumetuma threat zetu tangu jan mpaka saiz hazionekan tunasaidiwaje?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Nashukur ndugu yangu basi wacha niendelee kusubir asnte kwa majibu yako
  11. K

    JamiiForums Tanzania Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)

    Mbona nimepost wanasema sijuh mpka ikaguliwe na amdeveloper ndio itaanz kuonekan kwa umma tangu saa 8 mchan mpaka saiz haijaanz kuonekan mimi siioni kam imepostiwa kwanin?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ufundishaji wa masomo ya Tehama kwa Vyuo Vikuu ubadilishwe

    Nchi yangu ya Tanzania kama inatamani kupiga hatua zaidi kwenye maendeleo ya tekinologia inapaswa kuangalia zaidi suala la elimu inayotolewa na vyuo haswa vya umma. Unakuta mwanafunzi anamaliza shahada yake ya masomo akiwa anachukua masomo ya tehama lakini hakuna kitu alichotoka nacho kichwani...
Back
Top Bottom