Recent content by Kelly G

  1. Kelly G

    Vyuo vikuu vinavyotoa stashahada na shahada ya sheria kwa 2016/2017

    Habari wanajamii Naomba kufahamu vyuo vikuu vya serikali vinavyotoa stashahada na shahada ya sheria hapa Tanzania
  2. Kelly G

    Je, Ni wanaume wote wapo hivi?

    Nimatumaini yangu wote ni wazima jina langu ni Kelly nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nilimpenda sana kabla sijaenda kusoma mkoa mwingine ambao ni DSM nilimwambia naondoka lakini unabidili ukubaliane na ntakachoomba kwako nikamuomba kama hataweza kuvumilia kunisubiri basi awe na mpenzi...
Back
Top Bottom