Recent content by Kekue3

  1. K

    Picha: Lowassa anaonekana kachoka sana hata kabla ya kampeni

    Wewe ni doctor? Usipende kusikiliza maneno ya watu na ukaanza kuropoka ilihali huna uhakika na unachoongea. Lowassa alishasema kama mtu ana wasiwasi na afya yake waende wakapime. Duuu!, Nakuonea huruma maana unaweza ukaonekana na magonjwa mengi kuliko unavyofikiria na huyo Lowassa akawa safi...
  2. K

    Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    Safi sana kijana nimeipenda hii na hongera sana kwa utashi na upeo mkubwa sana kwa kuchambua mambo vizuri, ni kweli kabisa kuwa Lowassa ni kiongozi mkubwa na ana mali nyingi sana na kwasababu watu wanajiuliza kapata wapi hizo mali zote, ukweli umeshajulikana na mi nadhani ndiyo maana huwa...
  3. K

    Lowassa kioo tuelekeacho

    Tunaomba evidence ndugu, pia huyo msafi unaemtaka wewe ili aingie Ikulu ni yupi?
  4. K

    Asemavyo Zitto: Mahojiano, Makala na Hotuba - Jipatie Makala yako sasa!

    Mmmmh ndugu unaharaka sana maana haujakisoma unaanza kukosoa duuu umetishaaaaaa
  5. K

    Lowassa, Nchi ilipokuwa njiapanda kwanini ulikaa kimya?

    Tunaomba evidence ndugu c kuongea tuu kwa kufuata mkumbo
  6. K

    Lowassa, Nchi ilipokuwa njiapanda kwanini ulikaa kimya?

    Wewe ndiyo hujui lolote kuhusu haya maswala, yaani wewe ndiye utakaeenda kuchunga ng'ombe mwezi wa kumi wakati Lowassa aneyoyoma kwenda Ikuyu, utaelewa tuuuuu
  7. K

    Lowassa: Siwezi kumjibu mtu aliyebwabwaja kuwa nakusanya watu kupata uungwaji mkono!

    Fanya yako baba mwisho wa siku wataelewa tuu kuwa ulikuwa chaguo sahihi, tupo nyuma yako jembe letu
Back
Top Bottom