Acha wewe unaongea na watu waliopeleka watoto....
Mtoto amefanya mtihani Tena sio seven Four years of age... Anapigwa paper. Na asipofikisha 80 hapati nafasi.
Yaani wanawake wanatabia zinafanana kama mapacha.
Mm nawaangalia tu. Huyu mleta Uzi aachane naye tu. Na hivii Hawa watu wanajua wanaume tunapenda mademu Malaya.. hii kitu sielewi kwanini. M.boo bana Ina tabia ya kupenda ilipopita mb oo nyingine
Ukiwaona wanawake wa design hiyo ujue wanapendana Sana na hao mabasha wao. Na ana kitu kakidharau Sana kwa mumewe.
I mean wamejadili hata Jina zuri ni lipi wampe mtoto. Kumer kwelikweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.