MZIGO MPYA UMEINGIA, SILVER MPYA ORIGINAL ZA ITALY
- Tunazo PETE, HERENI, CHENI pamoja na BRACELETS
- Hapa tunauza Original tupu kwa matumizi salama ya binadamu, kauli mbiu epuka kuvaa vitu feki kuepusha kuwashwa harara na mara nyengine kupelekea masikio kuvimba.
- Napatikana Dar es Salaam...
Hapana labda uiache wiki nzima bila kuivaa, yenyewe ni automatic inajijaza ufunguo pale tu unapoivaa, unapokuwa unatembea na kurusharusha mikono yenyewe inajijaza ufunguo. kwahiyo hata wakati unapolala ukaamua kuivua na kuiweka kabatini, asubuhi unapoamka utaikuta seiko inatembea.
Pia kama...
Hii saa niliiuza hapa miaka kadhaa iliyopita... Oktoba 25, mwaka 2019... kwa yoyote ambaye aliwahi kuinunua anaweza kutoa ushuhuda... Original Seiko 5 ya Japan muda si mrefu nawaletea saa nyengine aina hii hii ya Seiko 5.
Hii saa niliiuza hapa miaka kadhaa iliyopita kwa yoyote ambaye aliwahi kuinunua anaweza kutoa ushuhuda... Original Seiko 5 ya Japan muda si mrefu nawaletea saa nyengine aina hii hii ya Seiko 5.
Ni kitu ambacho mimi mwenyewe nakitumia, mimi ni computer expert, kazi yangu muda mwingi nakuwa kwenye computer na ndio maana naiuza miwani hii, maana imenisaidia sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.