Recent content by Keikeies

  1. K

    Picha: Mama Mghwira akizungumza na kamati ya Siasa CCM mkoa wa Kilimanjaro

    Kutumika ndio nn! Chapeni kazi acheni kulia lia!!!
  2. K

    Magufuli versus Tundu Lissu; yupi unamwamini kwenye sakata la makinikia?

    Hata symbol ya Copper kuiandika ni shida! Sasa utaanzaje kumwamini Lissu, mwanasheria anayeogopa kushtakiwa!! Au ndo wazee wa kuzunguka mbuyu wamemwahii?!!!
  3. K

    Kisheria, Spika wa Bunge anaweza kuondolewa. Je, Job Ndugai aondolewe?

    Sababu ni ikithibitika kanuni , taratibu na sheria zinakiukwa (mtu anaendesha bunge kwa moody, mathalani unanuniana na mwenza hasiraunaleta ofisini, mtoto anafanya vibaya darasani hasira unaleta ofisini!! Sasa ni kifanyike kama sio impeachment!!!!
  4. K

    Tanzania yaigomea Rwanda kutumia sehemu ya anga lake

    Tafadhali usiniharibie swaumu yakhe!!
  5. K

    Tukague vyeti vya waandishi wa habari wa gazeti la Tanzania Daima

    KKK zinawatosha, zaidi ya hapo watadai mshahara mkubwa!!
  6. K

    Magufuli 'amrushia madongo' aliyesema atashtakiwa sakata la mchanga

    Kaanga ripoti zako umpelekee mkuu, maana naona unalalamikia za kupika!!
  7. K

    Anna Mghwira avuliwa uenyekiti ACT-Wazalendo, Yeremia Maganja akaimu uwenyekiti

    Kwa nn wewe Chief usitusaidie uwe mpinzani wa kweli badala yao?! Najaribu tu kuwaza kwa sauti ili unisikie!!
  8. K

    Lukuvi Kwenye Ibada ya Mazishi ya Ndesamburo na Magari Mawili Ya Polisi Wenye Silaha: Tafsiri

    Msihofu, hiyo ndio serikali, huko ndiko kujipambanua kwake!
  9. K

    Rais Magufuli aache siasa chonganishi. Mbunge gani wa CHADEMA alimuomba amteue?

    Kaa kimya kama sio wewe, wenzio waliomba! Kwa nn ukerwe na matamanio ya wenzio na ama Magu kusema ukweli?!
Back
Top Bottom