Recent content by Keid

  1. K

    Selection za vyuo vikuu 2018/2019 na TCU

    UDSM hawajatoa majina mpaka sasa, hata code zikitoka tunaconfirm vipi?
  2. K

    TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    Hi mwana JF Nilichagua programs tano na baadaye nikabadiri priority. Kila niki-login sikuti hayo marekebisho. Nilijaribu kufuta programs zote na kuanza upya, sasa cha ajabu priority nilizochagua zinaanzia namba 2 mpaka 5, priority 1 haionekani, ingawa nikiomba ku-add program naambiwa...
  3. K

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Re: Uchaguzi wa Programmes Habari wana JF Nilimchagulia mwanangu programmes 5. Nililazimika kubadiri priorities na baada ya hapo niki-login sikuti yale mabadiriko! Nimetoa programmes zote na kuziingiza upya; sasa inaanza na priority 2 badala ya 1. Niki-reorder programme priorities naambiwa "...
Back
Top Bottom