Habari yako ndg! Mpendwa! Naitwa Kefasi Mwasile ,Niko Mbeya
Namtumikia MUNGU KWA kuimba na kufundisha uimbaji wa praise team, kwaya, na mmoja mmoja, makanisani na mtandaoni.
LEO NATAMANI KUFUNDISHA SOMO KUHUSU KUIMBA KWA
=>AKIRI,
=>ROHO, &
=>NGUVU.
Kuimba kwa akiri ni kuimba kwa kutumia...