Recent content by Kebure

  1. K

    Uchafuzi wa maji mto Mara

    Bodi ya maji ilisema kuna mafuta,repoti ya tume maalumu inasema ni kinyesi cha ng'ombe. Tumwamini nani.
  2. K

    Uchafuzi wa maji mto Mara

  3. K

    Mifumo ya TEHAMA ndio inaiba fedha zetu au wasimamizi?

    Tunafanya makosa makubwa sana kununua mifumo nje,wanaotuuzia mifumo ndo wansoshirikiana na viongozi kutoboa mifumo. Ni vyema kutumia vijana wetu tuwape uwezo watengeneze mifumo. Alafu wawe chini ya uangalizi maalumu maisha yao yote. Intelligencia ya nchi inapaswa kuwekeza kwenye hili eneo la...
  4. K

    Serikali kuja na mradi wa Dola bilioni 1.9 kutatua tatizo Umeme

    $1.9b unajua ni sawa na TSH ngapi? Kama sijakosea ni 4.4T. Bwawa la Nyerere linagharimu 6.5T limetutoa jasho.
  5. K

    Serikali kuja na mradi wa Dola bilioni 1.9 kutatua tatizo Umeme

    $1.9b ni sawa na TSH 4.4T Najiuliza hii hela inatoka wapi au alikosea ni 1.9M.
  6. K

    Serikali kuja na mradi wa Dola bilioni 1.9 kutatua tatizo Umeme

    Waziri Makamba amesema wanakuja na mradi wa Dola billioni 1.9 kutatua tatizo. Nauliza huu mradi ameukuta ofisini au umebuniwa ndani ya hii miezi yake 4. Kama hajaukuta umepitishwa na bajeti ipi?
Back
Top Bottom