Matokeo ya Usaili wa nafasi za kazi Uhamiaji yaliyotolewa katika magazeti Julai, 2014 yameonesha kuwa katika Idara hiyo watanzania wengine mbali ya watoto au ndugu wa wafanyakazi wa Idara hiyo hawawezi kupata ajiya ndani ya Idara hiyo ya Serikali kirahisi. Majina ya wengi walioitwa kazini ni...
Hallow...wadau. Ningependa kujua kwa anayefahamu kuhusu mwezi gani wa kufanya application za masters hapa mlimani, chuo..na mwisho wa kupokea fomu za maombi.
Hi,
Nataka ni nunue NETWORK ROUTER kwa matumizi ya nyumbani., Lakini hizi router nyingi zinatumia ethernet wired kutoka kwa ISP(Internet service provider). Nilikuwa nataka kujua kama kuna network router yoyote supporting USB MODEM ambayo utachomeka kwenye router na kupata internet. Aina gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.