Recent content by KDF-BabaYao

  1. KDF-BabaYao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania With over 2 mln Nairobians live in slums, shack houses stilll makes most of the houses

    Kwenu ni mtu wa maana, huku Kenya akina Kimani, Farmaajo na Ongusu wanampiku. Hawezani na wakikuyu,somali ama wakisii katika biashara. Tunatambua waarabu wenu pekee
  2. KDF-BabaYao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania With over 2 mln Nairobians live in slums, shack houses stilll makes most of the houses

    Ndio maana hao wachagga wanatorokea Kenya😂😂😂 Wamejazana Kibera,Kawangware na Gikomba😂😂...hizo karatasi za Tz hazina maana Kenya
  3. KDF-BabaYao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania With over 2 mln Nairobians live in slums, shack houses stilll makes most of the houses

    Eastlands is the heartbeat of the whole of EAST AND CENTRAL AFRICA. Hakuna pengine kama hapa ukanda wetu. Hata hio Dar es sluuuuum haifiki. Jiji lenu la mabanda na matope. Hii hapa Kayole,Umoja,Donholm...hata hizo dandora,Kawangware,Mathare na Huruma zafanana
  4. KDF-BabaYao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania With over 2 mln Nairobians live in slums, shack houses stilll makes most of the houses

    Huyu jamaa anaitwa geza unibamba tu sana😂😂😂 Jamaa kwani analipwa ngapi na CCM to constantly spew hate towards Kenya. Msela, have you ever travelled outsided Tz? Geza Ulole
  5. KDF-BabaYao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Police Special Forces waangamiza gaidi huko Mandera

    Njooni mtusaidie, nyie wavunja matofali ndio mababe wa kivita🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
  6. KDF-BabaYao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Police Special Forces waangamiza gaidi huko Mandera

    Naam tupo kwenye supermarket, wataka tukuletee nini?
  7. KDF-BabaYao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Police Special Forces waangamiza gaidi huko Mandera

    SOG team kutoka huko Fino, Mandera county walivamia hawa majambazi wa kisomali baada ya kupewa taarifa kwamba wameonekana wakivuka border. Wanne walitoroka na majeraha lakini polisi wanawafuatilia. Hizo kelele mlizo kuwa nazo hapa,mara ooohhh Alshabaab wameteka kenya ohhhh. Njooni tuwape...
  8. KDF-BabaYao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania alihusika katika shambulizi la Kambi ya Marekani huko Manda, Lamu

    Umesahau pale mtwara wavunja tofali mlichinjwa kama kuku na wengine wenu kuchana mbuga 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️ Basi kdf na tpdf ni kitu kimoja🤣🤣
  9. KDF-BabaYao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania alihusika katika shambulizi la Kambi ya Marekani huko Manda, Lamu

    Yemen kwa bei nafuu
  10. KDF-BabaYao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania alihusika katika shambulizi la Kambi ya Marekani huko Manda, Lamu

    Unabishana na mafala hawaelewi protocols zozote za waAmerikani au CIA missions. Wanasoma news za NewYork Times who peddle umbea kama za bongo. Bado hawajui kuna Camp Simba ambapo wanajeshi wanaishi and Manda airfield. Kdf did not have any aircraft at the airstrip, zilikuwa za CIA na NIS...
  11. KDF-BabaYao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania alihusika katika shambulizi la Kambi ya Marekani huko Manda, Lamu

    Sasa mwajiona mna border security ya Iran na Israel🤔 Sijui kama mnaielewa border ya Kenya,kwanza sehemu ya boni forest kuenda hadi Ras Kamboni...
  12. KDF-BabaYao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania alihusika katika shambulizi la Kambi ya Marekani huko Manda, Lamu

    Brainwashed na wahalifu, wanatazama zile video za magaidi wa somalia
  13. KDF-BabaYao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania alihusika katika shambulizi la Kambi ya Marekani huko Manda, Lamu

    🤣🤣 sasawa nlikuwa nataka niwakanganye kiasi
  14. KDF-BabaYao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania alihusika katika shambulizi la Kambi ya Marekani huko Manda, Lamu

    Ndio nashangazwa, mtu kama huyo ataita wengine kafiri kivipi🤣
  15. KDF-BabaYao

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania alihusika katika shambulizi la Kambi ya Marekani huko Manda, Lamu

    Labda hao ndio wakageuzwa bikra🤣
Back
Top Bottom