Recent content by kcdispora

  1. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: Simba na Yanga zinanikera, namuomba Mungu aziondoe mara moja

    Mathayo 7:6' 6 Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua. Hill andiko maana yake asiyejua maana usimpe maana atakumaliza. Mpila ni Ibada ( Dini) kabisa ya kuzimu ndio maana nyuma yake kuna kamali...
  2. K

    JamiiForums Tanzania JWTZ msifanye makosa DRC, haya ndio yatakuwa madhara yake

    Inabidi ujue ukweli na lengho sio kufuraisha watu Mungu anatumia mtu mmoja kumaliza tatizo ndio maana nimeweka wazi kuwa ninachokisema ninauakika nacho sio kubahatisha. Mambo ya teolojia, sayansi ya siasa wala Mungu hayapo huko na mambo ya .Mungu hayafundishwi! Tatizo kubwa la hizi imani tulizo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania JWTZ msifanye makosa DRC, haya ndio yatakuwa madhara yake

    Deograsias maana yake tumshukuru Mungu. Now you understand me better
  4. K

    JamiiForums Tanzania JWTZ msifanye makosa DRC, haya ndio yatakuwa madhara yake

    Siku zote mtu mnafiki atakwambia unachotaka kusikia bala mtu mkweli atakwambia ukweli tu na wewe daka hiyo itakusaidia. Yesu alisema sikuja kuleta Amani bali upanga kumfitini baba na mtoto ikimaanisha kuwambia Wayaudi ukweli na wakamchukia
  5. K

    JamiiForums Tanzania JWTZ msifanye makosa DRC, haya ndio yatakuwa madhara yake

    Inabidi ujue ukweli na lengho sio kufuraisha watu Mungu anatumia mtu mmoja kumaliza tatizo ndio maana nimeweka wazi kuwa ninachokisema ninauakika nacho sio kubahatisha. Mambo ya teolojia, sayansi ya siasa wala Mungu hayapo huko na mambo ya .Mungu hayafundishwi! Tatizo kubwa la hizi imani tulizo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania JWTZ msifanye makosa DRC, haya ndio yatakuwa madhara yake

    Na kumbuka anaposema mkamate sana Elimu aimaanishi Elimu Dunia ya Bachelor , masters, Doctor, PhD, na professor hapana anamaanisha mkamate sana Roho mtakatifu yeye anakupa uzima in everything you deliver
  7. K

    JamiiForums Tanzania JWTZ msifanye makosa DRC, haya ndio yatakuwa madhara yake

    Mithali 29 Usiwaze mabaya juu ya jirani yako, Ambaye anakaa karibu nawe na kujiona salama. Tatizo wewe unaenda kwa historian wakati maneno ya Mungu hayabadiriki. Imendikwa pasipo na Roho sisi hatuwezi lolote. Ukikataa kuwa wa Rohoni then your nithing
  8. K

    JamiiForums Tanzania JWTZ msifanye makosa DRC, haya ndio yatakuwa madhara yake

    Mithali 29 Usiwaze mabaya juu ya jirani yako, Ambaye anakaa karibu nawe na kujiona salama.
  9. K

    JamiiForums Tanzania JWTZ msifanye makosa DRC, haya ndio yatakuwa madhara yake

    NARUDIA TENA KWA ELUFI KUBWA, NCHI PEKEE INAYOWEZA KUMALIZA HAKO KAMGOGORO CONGO NI TANIZANIA. HII NCHI KWA SASA INAUWEEZO WAKUTATUA MGOGORO WOWOTE KATIKA TAIFA LOLOTE IKIAMUA NA KWA SASA RAIS SSH NDIYE RAIS MWENYE NGUVU DUNIANI!!!!! NAJUA MTABEZA NA KASHIFA NYINGI LAKINI UKWELI NDIO HUO...
  10. K

    JamiiForums Tanzania JWTZ msifanye makosa DRC, haya ndio yatakuwa madhara yake

    Sir you need to get your self together and stay focused Huwezi kuishi katika hii dunia kama ujaewekeza Rohoni vya kutosha, and there is no shortcut ndio maana imeandikwa wataukumiwa kwa sheria zao hata wasio ijua sheria watapotea pasipo na sheria Warumi 2:
  11. K

    JamiiForums Tanzania JWTZ msifanye makosa DRC, haya ndio yatakuwa madhara yake

    Yesu alisema wasamee kwa kuwa hawajui watendalo.. Andika tarehe ya leo for your refference, Taifa la Tanzania kwa sasa na Milele ndio Taifa lenye nguvu Duniani na bado kitambo kidogo mataifa yataanza kusalimu hamri. Kuanzia leo elewa kuwa shina kubwa la mateso ya kila namna ni kujizalau...
  12. K

    JamiiForums Tanzania JWTZ msifanye makosa DRC, haya ndio yatakuwa madhara yake

    Mathayo 7:6' 6 Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.
  13. K

    JamiiForums Tanzania JWTZ msifanye makosa DRC, haya ndio yatakuwa madhara yake

    'Mathayo 7:6' 6 Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua.
  14. K

    JamiiForums Tanzania JWTZ msifanye makosa DRC, haya ndio yatakuwa madhara yake

    'Mathayo 7:6' 6 Msiwape mbwa kilicho kitakatifu, wala msitupe lulu zenu mbele ya nguruwe, wasije wakazikanyaga chini ya miguu yao, wakageuka na kuwararua. Kumbe issue sio Taifa ni watu wake kukosa maharifa ikimaanisha kumkosa Roho Mtakatifu.
  15. K

    JamiiForums Tanzania DRC iwaangukie "mabeberu" wakubwa wa Magharibi kumaliza vita nchini kwake, mabeberu wanahitaji kubembelezwa kidogo tu na kuheshimiwa kumaliza mgogoro

    Hata Yesu walimuita kichaa anawazimu maana aliongea vitu vipo juu ya uwezo wao wa kufikiri as a result akawaacha na kuchagua taifa lingine. Ni shida kubwa sana kutokujua Elimu ya Mungu hakuna anayeweza kukusaidia and it becomes a nightmare
Back
Top Bottom