I
Nashukuru kwa kua upo hewani tushauriane maana mimi nipo nyumbani..nina sumbuliwa na tatizo kama hilo..nimefanya vipimo ninavyo na nimeshalielewa japo treatment bado ngumu.na kupa namba nipigie
Miezi kadhaa sasa imepita..napata maumivu makali sana mgongoni na chini ya kifua hasa nikiwa nakula..nahisi chakula kama kinatonesha kidonda...nimezunguka hospital nimefanyiwa kipimo endoscope..majibu nina reflux esophagitis nimejaribu dawa za hospital bila mafanikio mwezi wa saba huu..msaada...
Nimepimwa kwa kipimo cha endoscopy nikakutwa ninavidonda kwenye ungio kati ya tumbo na mrija unaochukua chakula toka mdomoni dalili zake ni kichefuchefu asubuhi maumivu kifuani mpaka mgongoni.
Kweli hujakosea mimi binafsi imeshaniathili kiuchumi na kisaikolojia...eeh namuomba Mungu kila siku ayafute machozi yangu kwani yaliyonitokea hata siammini katika maisha yangu...haya magonjwa mengine ni kutubu kwani Mungu anajibu naamini.
Nashukuru coz unaonyesha ushirikiano...ndio maana nasema baada ya warts kutokea nikajua kua ni enfection ya virus sio bacteria...HPV ninavyojua haina kipimo zaidi ya kuona warts ndio unaweza jua kua upo effected..mimi me..nina warts kwenye ngozi ya pumb...nahisi miwasho mikali mpaka...
Mkuu nashhukuru sana...hii kitu imenitesa sana kabla warts hazijatokea madoctor wamenipa sana untibiotic bila mafanikio...sasa ndio nimegundua kua ni enfection ya HPV nini tiba yake kundoa miwasho...mbona madoctor wananipa tu untibiotic zisikua na mafanikio?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.