Recent content by kbhoke

  1. K

    JamiiForums Tanzania Je, katiba ina semaje kuapisha viongozi Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar?

    Nasubiri majibu hapa! Maana kuna shule hapa.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Waraka umemtoa pangoni “mwenyewe”!

    Pengo hakuwahi kusema hivyo. Fanya utafiti wako vizuri!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Kikwete: Msijaribu Kuchanganya Dini na Siasa Hata Kidogo

    Kumbe alikuwa mwenyewe kwenye hadhira ya dini, akasahau yeye ni mwanasiasa. Huwezi kutenganisha dini na siasa. Dini na siasa ni maisha ya mwanadamu. Hakuna mwenye hati miliki ya kingine! Kama vile ambavyo Kikwete amezungumzia masuala ya dini ndivyo ambavyo Kiongozi wa Dini anaweza kuzungumzia...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Padri amkabidhi Mwenyekiti wa CCM Wilaya ambaye ni Katibu wa parokia yetu kusoma waraka wa TEC

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  5. K

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Maaskofu Katoliki kuhusu uwekezaji Bandarini wasomwa kanisani

    Safi sana kama tamko limewafikia wengi!!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Nani amekudanganya fedha ya TEC inayotolewa na serikali haifanyiwi ukaguzi?? Issue hapa ni mkataba wa bandari. Usitutoe kwenye mada!!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali waachiwa kwa dhamana

    Imebidi mashtaka yabadilishwe! Sasa ni uchochezi sio uhaini!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

    Pasco aliyekupatia haki wewe kutoa maoni yako ndiye aliyewapatia TEC kutoa maoni yao. Hakuna mwenye monopoly ya kutoa maoni. Sauti ya kinabii ni pamoja na kuwasemea watu. Hata hivyo ukumbuke kuwa maaskofu wa Tanzania ni watanzania kama wewe. Mali za watanzania ni mali zao, hivyo wana haki ya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mchungaji aliyedai kuvunjiwa Kanisa Zanzibar afunguka. Serikali yatangaza kumsaka, yasema ni nyumba siyo Kanisa

    Manabii weusi wapo bhana akina nabii Tito na wenziwe!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awarejesha kazini Watumishi zaidi ya elfu nne (4,000+) walioondolewa kipindi cha Magufuli kwa madai ya kugushi vyeti

    Vizuri. Cheti cha form IV hakumuondolei mtu ujuzi alioupata akiwa chuoni plus uzoefu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti ya Machinga (matching Guys) na wahuni walio kwenye hifadhi ya barabara

    Kumbe! Sikujua maana ya machinga ni matching guys!
  12. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kada Maarufu wa CCM Jijini Dodoma, Egra Mamoto afariki dunia ghafla

    Apumzike kwa amani mbinguni!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rais, Mimi nalia sana. Kiukweli unatuliza. Nini kimekukuta?

    Ati??
Back
Top Bottom