Namfananisha na kiongozi mkuu wa taifa la Iran anayeihangaisha marekani na ulaya ameifanya Iran kuwa Taifa lenye nguvu kijeshi,kiuchumi,na kiteknologia,marekani hivi sasa inahangaika na vikwazo visivyotekeleka kwa ajili ya kuizuia Iran isisonge mbele,bahati mbaya imechelewa pia imesahau kama...