Mbogo heshima kwako,
Wakati mwingine huwa najiuliza haya ya Nape na kuungwa mkono na vigogo huwa unayasema sana kila ukichangia mada zihusuzo uvccm na uchaguzi,ukweli wake ni nini?Maana nijuavyo wakati huo kulikuwa na politics za 2005,mchakato wa kupata mgombea urais ccm, but Nape mwenyewe...