Recent content by kazabutivutasox

  1. kazabutivutasox

    Simu ya tecno f7 phantom a inatafutwa

    Habari za saa hizi wadau:Naomba kwa yeyote anayefahamu zinapo patikana simu aina ya TECNO F7 Phantom A jijini Dar es salaam anijuze.Naitafuta hii simu ninunue,please kama bei inafahamika itakuwa vizuri ikitajwa hapa,asanteni.
  2. kazabutivutasox

    Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

    Pilipili+Ndimu+chumvi=Moto.Kama hii ni tiba,tunaelewa kuwa tiba yoyote ile ina maelezo kama kiasi cha doze na muda wa matumizi mfani kwa siku saba na kadhalika,pia contraindication,doze ikizidi unafanyaje,kumbuka huu ni moto sasa ukizidiwa unafanyaje,utaita majirani?.Think...
  3. kazabutivutasox

    Pilipili ni mkombozi wetu wanaume

    pilipili+chumvi+Limao=Moto,unataka kuumiza watu mzee,mbona hujataja factors kama contraindication au side efect,kiasi cha dose na muda wa matumizi,dose ikizidi hatua gani unachukua,matumizi kulingana na condition za mtumiaji mfano mtu mwenze alergy inakuwaje,Hapo hujanipata mzee ingawa yangu ni...
  4. kazabutivutasox

    afya ya meno

    Mtoto anaanza kun'goa meno akiwa na umri gani?
  5. kazabutivutasox

    Unywaji wa Kahawa

    Mtm,sijaandika unyaji,nimeandika unywaji
  6. kazabutivutasox

    Unywaji wa Kahawa

    Nimekuwa adicted to coffee,nina mwezi mmoja tangu nianze kunywa kahawa seriously sijaona tatizo lolote,je inaweza kuniletea madhara yoyote hapo baadae?
  7. kazabutivutasox

    Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    It is so scaring,for this idears about free masonry, i think Ronaldinho Gaucho is one of them,this is because when he was playing for AC Milan he always showed horn sign by fingers whenever he scored a goal,May God help us and protect us from these obscene sect
Back
Top Bottom