Jamani kama Wenye ccm wenyewe wamekili chama kuanguka thats y ad leo wanakwambia wanajenga chama. Yaani kifupi CCM iliyokua nyumba ya zege leo imekua kichuguu cha mchwa kilicho jengwa katikat ya bahari baada ya bahari kupwa. Haya sasa Maji ndo ayo yanakuja 2015.(CHADEMA Vunjaaaaaaaaaaaaaa Mchwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.