Mmmmmh.....sodoka wewe kiboko...UKWELI NI KWAMBA NILISOMA CERTIFICATE YA UUGUZI BUT ONE YEAR COURSE...AND AM WORKING AT MUHUMBILI ORTHOPEDIC INSTITUATION AS A MEDICAL ATTENDANT...LAKINI NASHINDWA KUFANYA DIPLOMA COZ CJAKIDHI VIGEZO..THATS WHY NAULIZA UTARATIBU...VIPI KUHUSU VYUO VYA PRIVATE??...
Nilihitimu kidato cha nne 2007 na nikapata four ya 26...lakini ckufanya chemia na phizikia....nataka kufanya masomo hayo mwakani ili nisome diploma ya uuguzi.je hayo natakiwa kufanya masomo mangapi kwa mujibu wa sheria...na je cheti chake kinaunganishwa na kile cha kwanza au kinakuwa peke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.