Recent content by Kayjo

  1. Kayjo

    JamiiForums Tanzania Tatizo kwenye simu ya Nokia 6.1 Android

    Mambo vipi wakuu? Natumia simu ya Nokia 6.1 Android, nimenunua mwaka jana mwezi July. Kwanza Imeanza tatizo kwenye speaker, nikicheza video au audio kwa sauti kubwa inakwama kwama mpaka nipunguze sauti ndo naskia vizuri. Sasa limeibuka tatizo lingine charge inaingia slow sana na wakati mwingine...
  2. Kayjo

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike

    Habari wanaforum.
  3. Kayjo

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii haifanyi kazi kwenye simu yangu

    Asante mkuu, tatizo limeisha.
  4. Kayjo

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii haifanyi kazi kwenye simu yangu

    Internet iko poa ndo ninayotumia hapa kupita Google. YouTube pia inarespond vizuri. Tatizo nikiingia instagram, whatsapp, twitter na facebook
  5. Kayjo

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii haifanyi kazi kwenye simu yangu

    Natumia Tecno J8
  6. Kayjo

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii haifanyi kazi kwenye simu yangu

    Msaada kwenye tuta jamani. Simu yangu hapokei data kutoka mitandao ya kijamii niliyo nayo (whatsapp, facebook, instagram na twitter) lakini Google na YouTube zinafanya kazi kama kawaida hata nikibadilisha line nyingine yenye bundle. Nikiunganisha hotspots na simu nyingine napata huduma Kama...
Back
Top Bottom