Hee we kaka wa ajabu:embarrassed: yaani vocha tu unalalamika ulitaka amwombe nani ikiwa we ndo wa ubavu wake? Huo ndo wajibu wako wala huhitaji kuombwa kaka; wenzio hununua hadi gari nini vocha acha ujinga wewe PUMBAFU
Ni uzito tu unaosababisha hayo nilikuwa na tatizo hilo wakati huo nilikuwa na kg. 83 kwa sasa nimepungua uzito nina kilo 76 tatizo limekwisha kabisa. Hivyo nakushauri fanya mazoezi ya kupunguza uzito tu tatizo litakwisha.
nawe umezidi, ndani ya wiki tu tayari ushamwamini mtu na kumuachia nyumba? watu huchunguza zaidi ya miezi sita ili kumfahamu vyema mwenzio kitabia si kukurupuka.:A S 11:
usitoe ni hatari; nina miaka zaidi ya mitano sasa natafuta mimba siipati. wewe unataka kutoa? mungu atakulaani na usipate tena maisha yako yote. acha kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.